Jimmy Gathu - Stay Alive & Some Old Adverts.

https://www.youtube.com/watch?v=id=9cLZQ_2ITLI;list=PLdXBMPviZETZBLtV1p-6P9tp1sBZN0_9C

Wue.
Nostalgia.

Sportsman sawa hasa!
KQ should ge another signature tune. Till today in their planes they play the same tune. Badala ya kunyanduana ole sereni hao mabigi watumie doh vipoa

Kulikuwa na advert ya condom jamaa alikuwa anaweka condom kwa chupa halafu anaangalia madem wawili suggestively. Walikuwa wanasema ukifreak bila sox no diggity uta trip

Ile jamaa alikuwa anavua sharti, kisha kajimwagilia maji then io chupa kaivisha condom…noma sana. ilikuwa ya TRUST ?

nani anakumbuka advert ya Citizen beer?
man that song was the bomb

Kuna zingine hapa.
https://www.youtube.com/watch?v=id=kldesqm2Ixo;list=PLT8TXiPIBAQqb8SyD5Rcwr8cc9neJavNf