JF kuna mabinti wazuri balaa!

Aiseee…wakali lakini wanazaa bila tatizo lolote hahaha

Aisee!

Una picha ya @innaa?

Mie wangu umekuja huku.
I love you and glad to see you here

Sikh mingi nshakua sinia mwanakijiji. Salamu zako nilizipata

Lol

Jina lake tu linaonyesha mrembo…

Unalo

Wewe ni mtizii au mkenya?

Mtizii waona kiswahili changu vile kimekaa poa

k

kama anayo???

:p:p:p:p:p:p:p:p:p

:D:D:D:D:D:D:D:D:D

:p:p:p:p:p:p:p:p

Mpaka JF irudi ntakuwa nimeshanyanganywa mchumba, hizi dalili sizisomi kabisa.

Ticha za asubuhi.

Kweli mkuu

Hata hivyo hup uticha wenu niliutilia mashaka, mwenye p ataamua nani aimiliki
@innaa

Mkuu @innaa ni Ticha wangu tu, mchumba wangu ni @Mzigua90 na Ticha anajua hilo.

Niko na wewe tuu

Mchumba nashukuru kwa kunipa amani.

Tuko pamoja.