Wahi madini kabla hawajapitisha mkasi.
Bado huwezi post chochote
imerudi saa ngap
Tatizo huwezi post chochote
nahisi kutoiamini tena jf
nahisi huku kama nimefika nyumbani
Nimeona lakini hadi sasa huwezi kupost chochote, hata hivyo walipofikia ni hatua nzuri
Kwa sasa huku ndiko kuko huru zaidi kuliko jf ya nyumbani
Nilidhan ni kwangu tu kumbe ni kwa kila mtu huwezi post chochote
Ila PM unaweza chat inakubali
Nendeni mkadakwe
Kumbe ninaweza kwenda kumtumia PM @Babu Asprin
Kwamba mtego? Jamaa kakubali kuwapa key tcra? Hahaha
Watu wa nakuambia PM wanachati vzr huko,means washalog IN
Wamerudi bila maelezo ,wawatoe hofu watu
Ndio babu kijana atafurahi
Umecoment nini baada ya kurudi?
Ila tumekuwa limited kwenye kupost
Naisubiria kwa hamu na mahaba niue…