JF App irudi angalau kwa siku moja; kuna mitongozo PM tukaombe namba

Habari wakuu,
Kupotea kwa JF original kumenisononesha kwa mengi. Lakini hilo nilitotaja linanitia majonzi zaidi. Nilikua nishafika hatua nzuri sana PM, ilikua bado kuomba namba tu.

Sasa sijui itachukua muda gani tena; ukirudi itabidi nianze moja. Hii sikukuu si itabidi nianze kutafuta ma Ex.
Na nyinyi kama kitu kimewagusa kuhusu kupotea ( hasa ilivyo ghalfa), mnaweza kufunguka.

Ulitaka namba ya nani nikupe?

shostiii

Hahahahahaha

Bahati iliyoje hii, mi naomba yako tu.

Yani mkuu na mimi kama weqe tu. Yani ile tunachat atume namba mara paaap malaika akashuka. Tulokia pm wote jamani uko Nairobi rudi tumalizie tulipoishia

Itakua yangu tuu

Tena nasuugest members wa jf waje na ids zao zile zile

mkuu mademe s usalama upo lakin huku?

Wale wote mnaowaambia wjiunge huku, wambieni hivyo

Nimewaambia baadhi

ahahaha usalama wa nn tena huku?

Nakazia

Nakuona nakuona

Nipo nipoooo

Umechelewa kushauri

Hahahaahhahahaa

Na yako pia naomba, mzigua kwa msambaa nishindwe mimi tu.

Shunie njoo tumalizie ile project yetu pm