Je ni kweli kenyatalk haina App?

Nauliza kama kenyatalk ina App iweze kutoa maelekezo tunaipataje.

Nawasilisha.

Kama inayo basi Hapo play store

Hahahaha

Mzima Mummy? afu jana ulivonfanya…!

Mm tena jamani nimekufanyaje tena

Siamini km umeshasahau!

Jamani Slim nikumbushe basi hiki kichwa kina mambo mengi sana