Poleni sana Ndugu zangu waTanzania kwa Msiba Mkubwa wa Kufungiwa JF yetu,
Niende Moja kwa Moja Kwenye Mada!
Nimemloose Girlfriend wangu Niliekuwa Nampenda saana…
Kwa sasa sina GirlFriend na sina Pesa wala Gari za Kum Attract Mwanamke…
What should i do? and i want to have a woman…
Maana siuwezi Huu Upweke…
Kweli yupo Mwanamke mTanzania Mwenzangu atanikubali katika Hii Hali??.. wapi??
Asanteni…!
hahaaa…hapana komaa na Kenya huko huko!
Jipange upya mkuu, kama huna nyundo mkononi utaezaje kupigilia msumari.? Tafuta hizo nyenzo unazotumia kuwa attract
TheMason:
Poleni sana Ndugu zangu waTanzania kwa Msiba Mkubwa wa Kufungiwa JF yetu,
Niende Moja kwa Moja Kwenye Mada!
Nimemloose Girlfriend wangu Niliekuwa Nampenda saana…
Kwa sasa sina GirlFriend na sina Pesa wala Gari za Kum Attract Mwanamke…
What should i do? and i want to have a woman…
Maana siuwezi Huu Upweke…
Kweli yupo Mwanamke mTanzania Mwenzangu atanikubali katika Hii Hali??.. wapi??
Asanteni…!
[COLOR=rgb(235, 107, 86)]“Kwa sasa sina GirlFriend na sina Pesa wala Gari za Kum Attract Mwanamke.” [COLOR=rgb(0, 0, 0)]I like that… bado unadhani gari na hela ndio attraction kwa wanawake? Utawalose sana kama hutachange hiyo attitude yako.
Dem anakuacha sababu huna hela afu wewe badala ya kutafuta pesa unataka dem mpya.
innaa
June 14, 2018, 2:12pm
11
[COLOR=rgb(235, 107, 86)]“Kwa sasa sina GirlFriend na sina Pesa wala Gari za Kum Attract Mwanamke.” [COLOR=rgb(0, 0, 0)]I like that… bado unadhani gari na hela ndio attraction kwa wanawake? Utawalose sana kama hutachange hiyo attitude yako.
mweleze tu kwakweli gari na hela hatuhitaji
TheMason:
Poleni sana Ndugu zangu waTanzania kwa Msiba Mkubwa wa Kufungiwa JF yetu,
Niende Moja kwa Moja Kwenye Mada!
Nimemloose Girlfriend wangu Niliekuwa Nampenda saana…
Kwa sasa sina GirlFriend na sina Pesa wala Gari za Kum Attract Mwanamke…
What should i do? and i want to have a woman…
Maana siuwezi Huu Upweke…
Kweli yupo Mwanamke mTanzania Mwenzangu atanikubali katika Hii Hali??.. wapi??
Asanteni…!
aliyekwambia una attract mwanamke kwa oesa n agari nani…kama wa ukweli utmuatrract tu na pesa magari atapata tu automatic
innaa
June 14, 2018, 3:40pm
14
TheMason:
inna nije Kwako??
nimewahiwa ndugu na mwenzio asie na kitu
TheMason:
Poleni sana Ndugu zangu waTanzania kwa Msiba Mkubwa wa Kufungiwa JF yetu,
Niende Moja kwa Moja Kwenye Mada!
Nimemloose Girlfriend wangu Niliekuwa Nampenda saana…
Kwa sasa sina GirlFriend na sina Pesa wala Gari za Kum Attract Mwanamke…
What should i do? and i want to have a woman…
Maana siuwezi Huu Upweke…
Kweli yupo Mwanamke mTanzania Mwenzangu atanikubali katika Hii Hali??.. wapi??
Asanteni…!
kwa hiyo hamkuwa na mawasiliano hata ya cm???
Ndiyo muda mzuri wa kufanya mambo yako sasa…
Kama ulikua mvivu kwenda kwenye nyumba za ibada sasa ndiyo wakati muafaka…
Cc: @Mahondaw
Kwani gari kwenye mahusiano lina msaada gani?Be Real…Be You.
Kama umemainisha kweli uloichokiongea hapa haki ya mungu namuonea wivu huyo ulienae ki ukweli unajitambua bug up sana