jana...kuliendaje

So jana after wanakijiji kuniamulia nilitoka job alafu nikapitiae karma beste yangu anakuwaga na ka wines and spirit fulani pale river road.nikaitisha poison yangu {legend}.nikameza mdogo mdogo tu…kidogo shinny eyed fulani akiingia nikaona akiweka ile kitu sijui inaitwa aje kwa mdomo.nikaambiwa ni kuber

Nikamwambia nataka kujaribu.akanigawia kadot.mimi huyo nikaambiwa niweke hapo chini ya ulimi na nisimeze mate…lost memory in less than 10 minutes.nikablackout.my frend sijui vile nilijipata kwa choo ya kanjo.naskia kuenda choo but hakuna kitu inatoka …i thank God coz nilifika mtaani safely.am yet to do an investigation on that drug.

lakini niko chonjo wadau

5 Likes

:D:D:Dan Indian friend once gave me that in high school, nilitapikaa felt like i was dying intense high

2 Likes

hivyo ndio nilikuwa nasikia my fren.yaani unasikia roho kama inatoka.wueh

Wueh!

1 Like

Shukuru sana bratha kama haukunya ama kujikojolea. Kuna nyingine inaitwa kawada, smells like shit pia matokeo ni kama hiyo tu.

4 Likes

What is Kuber?
Kuber, also known as Khaini, is a smokeless chewing tobacco popular in India which is mainly used in place of cigarettes. However, Kuber contains up to 25% nicotine, making it highly addictive. Health studies show that Kuber contains 28 cancer causing agents and its user takes in three to four times more nicotine than cigarettes. It also contains cannabido and delta 9-tetra cannabidol (THC); which are the primary ingredients in Indian Kemp (marijuana). As a result of these findings Kuber tobacco has been banished from neighbouring countries such as Malawi and Tanzania.

11 Likes

jisafishe macho usawahu vile ulivunjiwa yai kwa choo za kanjo
[ATTACH=full]123076[/ATTACH]

5 Likes

I wish most of our youths would get to see this kind of information, it is very common among the youths.

2 Likes

:D:D:D

THANKYOU FOR THIS SPONSOR.i now know better

1 Like

Most aren’t ignorant. Addicton overrides rational decision making.

2 Likes

ata saa hii naskia bado hio harufu kwa kinywa

2 Likes

Iza man!:D:D:D

1 Like

wazi jo

Fanya mpaka ANAL investigation alafu ulete report kwa Chief Justice unko Uwes

7 Likes

:D:D:D:D:D:D… saitan!!!

2 Likes

I totally agree, but the problem is when one wants to get to a maximum high. Picture this, Legend+kuber+tobbaco+cigarette + Miraa, all in one sitting. Total ignorance

5 Likes

Nikiwa na EXTRAIL siwezi kunywa legend na kuber.

But seriously hio kitu muhindi mwingine ngombe alinipea nilitapika kama panya nikasema never ever . Halafu ile tumbako ma grandpa huwa nayo niliiba siku moja nikarusha kwa mapua nikasniff vile naonanga wanasniff vipro. Nili sneeze mpaka liver nikasema never ever .

5 Likes

Or hiding from reality.

1 Like

:D:D:Dabuse of drugs

2 Likes