Mtandao wa JamiiTalk ambao inapatikana kwa sasa Dunia nzima kupitia tovuti yake ya www.jamiitalk.com
Umeanza kutunuku mabalozi wake bora cheo cha Platnum Member ambacho kitaonekana chini ya Jina la Member.
Awali cheo hicho kilikuwa kikitolewa kwa Members wanao i finance JamiiTalk.
Hivyo kwa sasa Mabalozi Bora 10 Watatunukiwa cheo hicho Bure kabisa na Mabalozi hao ni watao itangaza JamiiTalk kwa kualika Watu kujiunga na mtandao huo.
Pia Mtandao huo unaweza kuutangaza kwa kuweka hashtag Ya #JoinJamiiTalk na kisha kui Tag yenyewe kwenye post ili ione na unaweza kijinyakulia Che Cha Platnum Member au Premium Membership.