Jambolan plum leads

[ATTACH=full]344478[/ATTACH]

Sweet, sweet, succulent and juicy Zambarau.

Do you remember eating these? Nakumbuka back in the day, tunapanda mti na kukulia huko juu. Ulimi, meno, yote purple. Na pia umeshiba. I still wonder how tulikwea hiyo miti refu.
Anyway, nani anajua kule naweza pata zambarau?
Wholesale. Niko na market mahali…kama unauza, sema bei.

Watu wa Kitui, Makueni, Mayakos…kujeni

Zambarau, mkwaju, mabuyu lokwats. Tamu saidi

Limuru.

saizi haziko season. niko na hii mti kwangu so whenver kids come to harvestb them i compel them to fill up my buckets before they deal with theirs

Nimeambiwa Ukambani ziko.
Ukambani ni Israel ya Kenya. We really need to capitalise on that place

Zande zana

Jambolan plums…now i know