Jamaa Amehema Sana Akitetea Nyama Ya Naivas

Naivas haikutajwa lakini birrionaire ashafungulia media mpaka processing plant. Hii base inakaa ilisuguliwa properly before media ifike. Na ikaongezwa equipment mpya, naona vitu nyingi zina-shine hapo ni kama mpya. Na kila mtu akapewa overalls na boots mpya. Kitu funny ni ati hata sai with all that media glare kuna watu bado wanakamata nyama hivyo tu while others have gloves on. Maybe they’re thoroughly disinfected, who knows?

https://www.youtube.com/watch?v=mxjerumQEy8

Niliona comments section ya FB page ya Capirro yenye walitangaza hii “inspekshen”, watu wanalia vile walisokotwa na tumbo after kula nyama ya Naivas. Wengine wanasema, “I didn’t need any evidence to know Naivas was involved. Kuna siku nilikula packed food ya huko nikaendesha kwelikweli.”

Fake middro crass, inakaa mnapigwa vita from all corners. Kuna siku tulieka expose ya coocoo ya magunyo, sai ni nyama. What next banaa?

They are soo good at public relations damage control but people ain’t going back.

Atleast Carefour or chandarana hasnt been mentioned yet. I generally buy meat/ingokho from these

Brother Kenyans forget easily

Niliwaombaga hiyo account hapo mbeleni wakaninyima…baadaye nilisikia walipatia mtu wa family:D

Suppliers ni wale wale

Thought it was happening at the supermarket level and not higher up the supply chain

Issa cartel.

Supermarket haziendagi kichinjio…na Mara nyingi huwa wamepatia privateer space wanakula commission.

Kwa waing’a…

…ndigaacooka…
Gucuthiriria…

Unakumbuka ile expose that was posted here juzi about the insider who spilled the beans? He was saying the contamination is done at the supermarket before customers start coming in.

Also, why is the gava checking supermarkets instead of slaughterhouses?

Even your local butchery “treats” the meat. The reason we have never died na viletunapenda nyama imelala ni kizungumkuti kwangu…kwa hivo kama utakuwa mla nyasi anza leo.

Hii game hakuna mtu msafi

Hehehehe, hapa ungehandle aje hii bad pr

Easy, crisis communications is one of our strengths. But even opening up the processing center is a good step.

The other time niliwaambia sportpesa wange-announce jackpot wakati walikuwa na mess ya tax and they did. Hawa ngojea mega sale in a week’s time.
Unfortunately the hype of the mega sale will only be on radio and TV lakini kwa duka “za offer zimeisha”.

’ offer on varied stock’ ’ offer for select items’ and other spins they can fathom

Huwezi itisha equipment mpya na ifike in less than a week plus setup. Hizo ni vitu wamekuwa nazo

anyways, mimi wacha nibakie tu local busheri. Huku by 8:30 nyama imeisha

O

Or some crazy raffle with crazy mega prizes whose winners will never be known. Of course it will have such a catchy slogan you will want to quote it somewhere…Kenyans love buzzwords.