Italy being Schooled

Wazee wa Italy wanatembezwa kwa field mpaka kocha anaskia kulia. Halafu huyu short man Isco ni moto wa kuotea mbali… Man of the match from my view.

1 Like

Isco ni one man army… Hehehehe italy like a burukenge

Hehe veratti anapigwa chobo na kanzu, isco ni mmbaya

[MEDIA=streamable]xxzzp[/MEDIA]

Kijana uko na wino…
Ngombe