#ishehereyet

[ATTACH=full]10214[/ATTACH] It must be five oclock somewhere. Just pour me something tall and strong tukaribishe mgeni

1 Like

niaje mzee mwenzangu, siku hizi umepotea hata kahekaya kamoja ka pujo tukiongojea cousin brother

Hehe. Bro ntajaribu soon.

I love that song by Allan Jackson…

Habari ya bwana pujo?

“Kupotea nayo?”

1 Like

mabenda4 yaani ushanyonya Gilbeys mzinga? najua ushazimika sasa; hehehh

Mimi gilbeys nilisema zii… inanizima hadi sijitambui… sijui ujanja yake bado

huyu alisha chew Black out

Mafeda! Jaribu hata ka Bombay ama Gordons usimalize lining ya oesophagus na tumbo.

1 Like

[ATTACH=full]10217[/ATTACH]

@junkie anakunywa beer na ice alafu anachapa shot ya Tusker anauma apple kama tequila.

1 Like

@junkie mbona utaki kuambia mwili pole after hii wiki yote? Ukiamua starehe, go hard on it… tequila shots hadi uzimike na sii tafadhali ama niini, hehehh uyu ni mlevi mimi

[ATTACH=full]10224[/ATTACH]

MOMO atawika leo

Niko mbali na home lazime nifike mtaa in one piece