Is kplc cheaper after 10pm to 6am?

Saw some claim ati kplc charges half price after 10pm, kweli ama rongo ?

1 Like

Majuu ndio kuna hizo tariffs

3 Likes

Sijui
Wacha pia mimi niulize swali.

Nasikia wakiona unakaa mdosi (washing machine, skyworth etc)
wanakuongezea bill yako ndio ufanye subsidization ya mtu wa nyumba ya matope na bulb moja

Last mile is not breaking even as expected, so wanaongeza levy ndio kila mtu alipe hiyo expense ilitumika kwa bulb moja

3 Likes

Yes kuna tarrif kaa hiyo but only for large power customers. Wasee kaa chandarana or mumias sugar who bill kaa 10 million monthly yaani like 500k units

1 Like

They should consider introducing it to domestic users too

Nilienda Norway nikaona electricity is cheaper from 11pm to 5am. At that time they had what you call ‘time of use tariff’.

2 Likes

Domestic users watu wa less than 30 units per month wako na tariff yao.

Murarandia ndio unaita Norway, ghassia hii.

2 Likes

Niaje ango Uwesmakende?

1 Like