Is it true maisha ni magumu ama wakenya wanajifanya Tu?

Jana nimeboeka kwa nyumba nikaamua niingie kwa urban centre nikunywe Guinness mbili na nitizame dimba kati ya Arsenal na Crystal. Ile pub ya kwanza niliingia nilikuta imejaa hadi sikupata kiti. Nikatoka nikaenda ingine ilikuwa imefurika but ikabidi tufinyane pahali kwa corner tuwatch ball. After match kuisha nikaamua kwenda another less congested pub kumeza moja ya mwisho alafu nilost kwa keja. Maze hata hiyo ilikuwa imefurika wateja. Yaani watu wako na pesa lakini wanalia kuna uhaba wa fedha na mfumuko wa bei za bidhaa umezidi?

Hao ni mafans wa EPL. Walikuwa na kiu ya game.

Maisha ni ngumu bro lakini sio Kwa wote.iwas in kamindi supermarket when unga was costing 200,i was doing some shopping kufika hapo kwa unga,nilipata a na mama amemshika 100bob na kamtoi kanlia Kwa mgongo.she was trying to keep the brat cool akikaambia Sasa hakuna unga ya mia ngoja nifikirie.i was almost into tears,nikamshow chukua unga Tano,mafuta ya 3ltrs,na kamande na royco,mkate na maziwa,kamtoi kutolewa slice Moja ya bread kalikula within nano seconds,this are the things which make me give thanks.thina wikuo shifu

That’s good of you… goodness shall also follows you

That is quite touching. You will receive mighty blessings

Things r bad for the majority. If you live in Muthaiga sheltered, you will never know

What have noticed watu most wanapiga sherehe major, ni watu wa magendo, Fast Money.

Hapa Kambi mstuni resort tunameza Bellaire beluga blue whiskey na Niko na a nice pre wall soft meat gal kienyeji ya nyahururu polytechnic nitakamua baadaye nikimaliza biashara na fellow mbillionaire s.

Hiyo place iko wapi nikuje? Do you have some spare babes?

Barikiwa.

Huko ni Kwa kichaka na hio baridi yote ya nyandarwa forest

Pesa iko ni Ruto amafanya wakenya kuamini hakuna pesa

Iko along nyeri - nyahururu road in ndaragwa constituency,nice place na haiko crowded , kunguru hawawezi kosa she will just invite gals wako na specifications za madem unataka

Weka thermals ngite. Umetuzoea bana

Hio mfuko isiwai kauka.

@Karoga wacha kulenga. Tuna ngoja pikcha ya prewall.

May you never lack, bro. These are the things that makes a normal human being shed tears. And the money that should make these people’s lives easier had been stolen by the Ruto’s and Uhuru’s of this country to buy 5helicopters. It’s real sad.

Maisha imekuwa ngumu kwangu haswa

Just bust into laughter reading this. So y’all don’t think this was some con game?

uliza wenye bar waliuza crate ngapi za pombe against crate ngapi za soda