iphone 14 pro

Wadau leo nimeamua kuexperience Iphone 14 pro and I can say am impressed. I now get it why people spend a fortune on these phones. updates will come in later nikiendelea kusafisha macho.[ATTACH=full]500295[/ATTACH]

Ukona insurance?

nope…

Utaiba hii mwizi

Mecho safi sana

Bought one kitambo at Elite Digital pale Westy. Insurance unapewa ya one year.

Utaboeka nayo after 3 days

Haha, umenunua mkebe mtu wangu kwanza kama umenunua full price. By this time next year utakuwa unaregret sana.

Overkill.
Congratulations, nonetheless!

I would rather eat mandathi with fanta blackcurrant with that money.

I thought so but hio pesa singetumia anywhere juu it was failed op lost a patient nikaamua acha niispend tu there was nothing I could have done to prevent it. It is some form of therapy for me.

Kuna villager naona anauliza kama uko na insurance, sijui ni apple care ama ile ngine. Itabidi upange shingo mzuri in preparation for a trip to ngetaland

Maskini akipata, matako hulia mbwata

Iphone ni safi shida ni once umezoea open source software kama android kufanya vitu mob na simu utachoka na iphone very fast.

Hii ukishashika unamake sure hauendi club na vichochora.

Hawa bei zao ni exaggerated, base iPhone 14 wanauza 175k.

Wacha kwanza apate story ya apps amezoea kudownload APKs bure zinauzwa… na zingine hata haziko kwa app store yetu.

Source: Niko na iPad.

Atatoa wapi equity bank app

Iphone na ekwtitee hazipelekani

Swafe. Leta longterm review baadaye tuone vile inacompare na android za hio price category.