Investing Ksh1000

Where can i invest as low as 1k and make it grow? pls don’t suggest gambling

Hiyo panda kama maindi. .then water it religiously

nimejaribu hio, zinakauka bana farming zii, online hivi?

mayai boilo biz

hio haiwezi fit kwa schedule yangu nko na job already

Basi kopesha wenzako huko kazini kisha uwaitishe 20% inerest end month…

Nunua 0.000000000000000001 of a bitcoin.
It’s predicted by 2015 1bitcoin itakuwa 5000$

2015?

:D:D:D2020

hio investment tuwaachie ma billionaires

this is a good business Hata ikikuletea 300 per day it is a worthy investment, you must find a way 2 manage it Hata ukiwa kazini

Publiclikes only. U invest 4500= n start earning.

Government bonds

M.Akiba

Na si munakuwanha na pesa nyingi. Thao ni pesa mob sana,naeza lipa rent,nilipe msee wa kiosk na bado nibaki na ganji ya jug daniels…

Kenya ama Uganda?

Kenya boss. Kenya.

Mmmmmh ur drms are invalid.

You can invest in ‘not gambling’

Rent? Hata nyumba za mabati are not that cheap.