Insomnia, watching this

https://www.youtube.com/watch?v=clzuoCPZiYA

Hii insomnia imezidi. Umejaribu kuongea na daktari?

bado, but inani affect on the nights of sunday/monday, I think na jua ni kwa nini, sunday mzima ni kuishi kwa kitanda nursing hangovers sasa usiku hakuna cha kulala

1 Like

Ni pombe inaharibu sleep cycle. I realised recently that pombe ikiisha kwa mwili, ni kama inareboot, inaisha pamoja na usingizi. So I rarely drink at night if I need my sleep.

1 Like

Kijana you need some spiritual nourishment :)…on sunday hata kama ni ile ya tv

1 Like

eat much food to absorb the alcohol if u need to find sleep…

Hekaya. Alcohol will be processed in the liver. Eating food after getting drunk won’t make a difference. Drinking water during the drinking and before sleep will help alleviate or even eliminate a hangover the next day lakini.

tafuta kazi ama fanya overtime sunday mzima utapata usingizi usiku

Tafta coomer, njoti mbili ni kama piriton 50

2 Likes

:smiley: ujue when you start having them over the whole weekend hadi sunday usiku wanaamkia kwako wakienda job its only a matter of time before shit gets serious, ndoa pap

1 Like

mimi soup ina pilipili mob does it for me, but I also drink lots of water

Since you posted this at 3 bado uko insomnia ama breakfast

sasa ndio usingizi is starting to kick in itabidi nimeng’ang’ana nayo

Na job nayo…ama wewe ni wabiachara

job but coffee will be my friend

mmh