Inside Jabass Plans To Steal Erections

https://x.com/ntvkenya/status/1860893456501006671

Ile uizi jabass anapanga akijua mt kenya, jagathi na GenZ watamuonyesha nganga mbute haijaonekana before

I think we should just impeach jambas. He is cornered and he is getting desperate and you know how dangerous cornered animals can get. Naona anaweza jaribu kuiba 2027 alete civil war

5 Likes

GenZ wamesema ajaribu waonane na yeye. Saa hii hasira ziko juu hakuna amendement kama hiyo inaweza pitishwa.

1 Like

Wacha raila afail AUC mambo itachemka ground is so hostile murima I doubt he will ever gain a foothold again.

1 Like

2 Likes

2 Likes

RUTO is worse than Moi

2 Likes

Hii mbwa inataka kukatalia Kwa kiti

1 Like

Reason why nasema msee atolewe before 2027.

4 Likes

He is plugging what worked for them in 2017. Without live transmission 2017 would not have happened, and also without live transmission he wouldn’t be president today. Ile wembe alinyoa wengine nayo lazima imunyoa Hadi fudhi

2 Likes

Hasora apewe kumi fresh na si tafadhali !

Kikuyu na madoa doa yote ianze kutoroka kipmenos pale north rift

1 Like

Jana nilikuwa baze ya njiva, kiasi kiasi siasa ikaanza, nikitegea njiva ziwe ready nifiksihie ma boyz. Walikuwa wamedai njiva na chicken niwaletee nkitoka job. Hapa area za job kuna mkamba huwa na njiva fine sana. Siasa zikashika kweli kweli, tena zaidi. Kila mtu anachukia hio takataka ya sugoi. Jamaa akauliza sasa nani atapigia hii mutu kura? Ataiba, ataibia nani? Hata campaign ataanzia wapi?

Nkajazika sana kumbe sio mimi nina chukia hio nyang’au. Nikajibu wakikuyu watampea kura. hapo kulikuwa na mujamaa wa kutoka central akasema “nani?” “hatuwezi, huyo mutu tumemchukia sana”. Nkajua baas, siasa iendelee. Hio mutu inachukiwa hadi na watoto.

1 Like

Atakuwa na siku mrefu sana

The stinking mother fucker will try all means of rigging the erection