Insecurity ya Zimmer

So nikiwa kampo ki-third year hivi nilikuwanga na beshte yangu fulani anafanya Music or something related alikuwanga ananifunza ku-play guitar na other instruments. So mimi nilikuwa namuomba guitar yake ndogo naenda nayo vibe halafu mi nafunza tudem kuplay guitar. Ndio ufunze dem guitar unamhold from behind then unamshika mkono ukimshow how to place fingers huku mmesimama akifeel mdeki…before you know it dem amembao mbaiya! So siku moja nimeendanga keja ya chiq fulani hapo mirema kuplay guitar halafu nikimfunza kushika strings na kuhold guitar nikamsnogi aka-end up amenikwachu vitu hadi saa inne usiku. So venye nilimaliza nikaamua nitembelee cuzo juu ye hustay zimma karibu na deliverance. Sasa kwa roadi kulikuwanga kumechimbwa mbaya karibu na hiyo transformer iko hapo mirema kwa co-op bank. Kucheki hivi nikaona nikikwom spidi naeza ruka hizo ma-trenches halafu nikanyange dry land hapo mbele nikiishiaanga. So mimi huyo nikaruka trench zangu na mbio halafu kitu sikuwa naexpect ikahappen. Kulikuwa na wasee kaa wasita wanatembea in front of me juu ilikuwa night sikuwa nawacheki vipoa. Man venye nilimaliza kuruka trench zangu wasee walikuwa mbele yangu wakaanza kukimbia. Wa! nikajua lazma kuwe na wezi wanakwom bt kucheki nyuma sioni mtu so nikatoka spidi just incase kuwe na magondi wanakwuom. Hao jamaa walikuwa mbele yangu wakaongeza speed huku madem wakiscream but walikuwa wazae hivi hivi so mi nika-catch up faster. But every time nikikarabia msee anachapa kichochoro fulani kidiversion hivi but mi si-mind naendelea kukimbia. Saa kuna dem flani alidunda down hapo mbele mpaka skirt ikararuka mi kuangalia nyuma sioni msee so nikasimama kumsaidia…akaanza kunishow ati usiniue pliz… Mi nikamuuliza kama ameumia akaanza kunishow ati ako na watoi ati nichukue kyenye nataka but nisimuumize. Nikamshow hata mimi nakimbia bt sioni wezi… hao wasee walikuwa mbele wakasimama venye waliona tunaongea… After a few minutes wakaanza kuapproach mmoja mmoja wakani-surround venye naongea na huyo dem. So mmoja akaniuliza nimebeba nini…kucheki wakaona ni guitar hawajawai cheka ivo… eti mi ndio walikuwa wanahepa waaah!. kunaye alikuwa amejikojolea aki…eeh zimmer ni noma…cuzo huniambia ata sahii zimma si safe.

23 Likes

Lakini kwa soja huokolea sana

Umbwa wewe…yaani hii upus ndio unaweka hapa ngware hivi

1 Like

Kutembelea watu kwao saa nne za usiku no tabia mbaya sana kijana…

1 Like

Hahaha back to your roots mkamba Mkufuu. Oswahili ya pwani imekushida ukaamua tu u-embrace your ghetto side.

7 Likes

:D:D:D… @Mkufuu ni Mwinzi

2 Likes

Hehehehe

MKAMBA ULIKUNYWA KALUVU KISWAHILI YA PWANI IKAPOTEA

2 Likes

Cowards. How can 6 men run away from a single man? And worse still leave their ladies behind?

Sadness of. … sijui

4 Likes

Is this you @Mtukufu or Jirani hacked your account???

1 Like

HEHEHEH MKAMBA NAONA UMEACHA OSWAHILI JPG

1 Like

UNAFIKIRIA AK47 NI MAEMBE

11 Likes

UNAHITAJI MBORO KUBWA MAM

YES PLEASE!!! Nipee…

2 Likes

:D:D:D:D:D:D:D:D

Must have been @sunnymango and company

4 Likes

:D:D:D:D:D

:smiley:

:D:D:D:D:D:D

Upunzii

1 Like

I love zimmerman a lot

1 Like