INGIA kuja hapa!

Nimeona ufala yako inaharibu thread za watu wengine sasa nimekufungulia a dedicated thread. Nataka useme kila kitu iko kwa hio kichwa yako. Na kama iko bure, do not reply. Reply only kama uko na akili.

4 Likes

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D @Luther12 kuja uendeleze hizi emoji

Putin alipanga mkutano na pope kwanini na mimi huskia pope ni antichrist

1 Like

I always wonder who is the mzee on KFC logo. Ebu someone help me google. I’m too lazy.

1 Like

Ni kama uk na rao kusalimiana?

1 Like

@FieldMarshal CouchP unatakwo

Popcorns please

na manjiva hivi

@Ingia

UNAITWAJE MAKARAPA KWANI WE NI ANDY CAPP

1 Like

Papa hunikumbuki from klost. So ufufue your mono diaries. They used to make me happy shida ni kwamba computer ilicrash na collection. Might you be having a back up somewhere?

1 Like

Anaitwa colonel sanders.
http://smilepls.com/stories/inspirational-stories/success-story-of-colonel-sanders-aka-kfc.html

1 Like

Hii sasa ndio kutokwa ile proper.am in stitches mbaya.

Watching from the sidelines the cat fight that is about to unfold.

NIKO NA 10GB KAKA MAKARAPA

ni kama @Ingia anatunga aya kadhaa

2 Likes

[ATTACH=full]7053[/ATTACH] @Luther12 what is the opinion of the Google panel of experts on this madness
@makarapa Wacha @Ingia ashuke forward travellers utakiona

3 Likes

Ingia amepotea?
The thread title would have been more apt, ‘Ingia ingia hapa’.

Mathice, please nisaidie na mathiokore ile ulikuwa ukitumia while still in the village kuna mtu nangoja hapa!:slight_smile:

Hahahaha,kwani boy wetu INGIA ako juu FT.munanibamba mbaya.