In the newspapers






street lighting ni kazi ya municipal council, na watu wa biashara hulipa pesa kwa local governments, za kuprovide street lighting, garbage collection na vitu zengine kama izo

Watu hulupia had bin ya kanjo na bins za kanjo hazijawai onekana tangu 1980s

1 Like

KPLC making billions of profit but bado wanataka kuumiza wananchi zaidi.

Angalia major shareholders of kplc. Wanataka kuenda Seychelles holiday