Kwift soja @uwesmake mtoto wa mama pima hope hawajakufukuza KAZI sababu stress zitakumaliza but Santa pharmacy got you . Ntakuajiri kama manager wa kupalilia ndengu in one of my farms
Asi!! na kwanĩ ivinda yĩĩ kũu kĩkũmbũlyũ kunaĩ na mbua nzeo ata? :D:D
:D:D
How much is a kg?
Safi sana. Badilisha hio jina “pharmacy” to “mkulima hodari”.
130/=
Huwa nauza madawa pia , miti shamba so am a qualified Pharmacist. Na pia Mimi ni dawa Yao.
What’s ndengu in English? Inaeza mea western?
Am illiterate sijui kwa engrish labda uwesmakende atranslate ,they need little rainfall western haziezi make chief . Zoeya ovacado watery
Seeds wanauzaje?
We replant Tu the harvest . Hizi hazinanga nuks , kuna type inaitwa cotton kubwa kiasi na Ile normal . Labda ujaribu cotton huko kwenu hio inahitaji maji mingi kidogo