In the name of love

Sometimes back,not so long ago, we were at our rural health attachments at an undisclosed location but place yenyewe iko mt Kenya region. So there is this beautiful kao chick nilikuwa nimekufia. As you all know kwa hosi kuna departments tofauti tofauti but kuna zenye ziko busy kama wards juu inaoperate hadi usiku…so mimi during the chicks turn kurotate ward nilikuwa naenda kuwakalisha hadi kitu saa sita za usiku hivi .I even remember I also attended several church services juu yake though mimi hukuwa kipagan hivi like for the last three years…then one morning nikiamka kuendea chai napatana na hiyo mzoga inatoka kwa cube ya boy fulani hapo nikajua nimechapwa ten nil…Then came our time kurotate wards hapo huyo mshenzi hakuwahi kanyanga.
The chick akaanza sleepover kwa huyo boys daily so mm ikabaki nikubali tu matokeo although it was hard.kwanza hakuna kitu mbaya kama kuenda Kulala ukijua dame unapenda kuna ndume anaitafana…to say the least I just wished the rotation period iishe atleast hiyo torture iishe.
All in all mwanaume nikucount losses na kumove on. Sasa wangwana nini hiyo ushaifanya juu ya mapenzi and did it pay back ama mlienda mkikauka kama mimi??

Tulia boss na ukubali kiboko kutoka kwa mungu, unaendaje church juu ya puthy?

Nikiwa class six kuna dem nilikuwa nampenda mbaya Neiba alikuwa anaitwa soni , but nilikuwa muoga . pia Neiba mwingine beste yangu , WAFS , alikuwa amerusha ndoana ikakuwa Ni compe.

But we all know ile shyness , unakutana na dem aki smile una melt na words zinapotea . sasa siku moja

'Soni niaje ’
Poa uwes
Uko tuuu
Yes naenda shop anko
Sawa thanks

Mimi huyo nikarudi kwa nyumba kwa dirisha nikingoja arudi nimuone moyo itulie .

Sasa nikiwa recon kwa dirisha ki navy seal nikaona WAFS amepita akielekea huko chini side ya nyumba za nurses , unajua our houses zilikuwa za docs so zilikuwa separated from hizo zingine .

Jamaa akaingia kwa nyumba ya nurse fulani nikalenga kidogo naona my bae crush sweetheart love Soni ! Ameelekea hivo akaingia kwa hio keja , moyo ikaruka juu heartbroken banaaa naibiwa bibi

Nikasema mbaya mbaya kufa dereva kufa makanga sikubali nikaelekea hiyo direction nikangoja after 5 minutes na kuingia polepole mpaka kwa bedroom.

Maajabu nikapata Soni ametoa nguo yote na ananyaduliwa , na Mwenye nyumba a certain male nurse waaaaaa WAFS was nowhere .

Jamaa akani bribe na mia tano , alot of money in 1996 , nikanyagie story . let’s just say Soni alinipea bribe ya kuma later on nisim snitch kwa mamake . but I was heart broken . WAFS alikuwa tu front\pimp . daktari SAA hizi knh

Soni naye alienda wapi?

1996 ulikuwa class 6…navenye hizo matime watu walikuwa wanaingia nursery school na Miaka saba plus haikosi ww ni zile ngombe zilikuwa zinarudia classes…yenyewe wewe ni fossil but all in all picha ya soni ama pia design ya nyumba ya nurse ni muhimu

Kulikuwa kuna huyu dame nilimpenda sana and i invested soo much time and effort into trying to get her shida ni i decided to go the become great friends then date her route. Sasa huyu dame she had been previously been involved with a friend of mine shida sasa ilikuwa kwamba the girl was torn between us two and yours truly lost the power struggle to the girls heart.

We were really young though lakini ni hivyo i dont think i have really felt that way for another girl like i did for this girl, ubaya ni my ego at that time could not handle rejection and i cut both them off yes i knkw it was dumb of me to do so.

Boy meets girl on Monday
Boy falls in love on Tuesday
Girls ‘falls’ in love on Wednesday
Boy loses Hustle on Thursday
Boy travels away from state on Friday
Boy comes back and is friend zoned on Saturday
Boy recovers on Sunday

and so ends the tale of Simon Makonde.

Life goes on, with or without you

Ni mwalimu huko kitale

I have never loved and I have ferked over 1,000 womens.
Where is Georgina na hizo nonsense zake za soul ties?

[ATTACH=full]254218[/ATTACH]

Uwes soni changed your life ukakua malaya

This is why everytime you sample ikus kula like it’s your last… You never know itakutoka when :smiley:

Sometimes, rejection and failure is better than success…the kids turned out fine :slight_smile:

Oh, did I love a certain teacher in my primary school days. She was the reason for all my wet dreams. Now when I was in std 5 she got married. I cried under my blankets. I wept so hard but I couldn’t let people know that it was the teacher who made me cry. She was now not teacher Kirigo,she was Mrs. Gitonga… I can’t tell what I was to do with her but I just loved her like crazy.

:D:D:D
Quadrey 1996 nilikuwa high school.
Usiwahi ongea mahali niko plis.

It happens to everyone, lakini hio yako ilikua painful kiasi :D. Most of us tulijua tu ameshachukuliwa.

Me kuna this chic nlimezea mate pale campus,i was friend zoned but i didn’t give up.After campus nkapata job.In that organisation vacancy ikajitokeza so the boss requested me to refer someone preferably a lady,mi na ufala yangu nkaita uyo dem hoping atajipa.she came for the interview na akapita,kuanza job she was to report to me,so i was her supervisor,nkaanza kurusha mtama but still anadai haiwezi ju ako na chali bla bla bla,year end bash nkajua apa lazima rungu ioshwe,tukakunywa hadi kitu 1AM,nkamshow tuishie tukarelax pale kejani.i freshened up haraka haraka ,later she joined me also after kuoga and all,kuingia bed me nkaanza kudara dara dem ,she was like Klan unafanya?siezi betray chali yangu.nlijam nkaishia sitting nkaendelea kukunywa hadi nka black out,kuamka kitu 10am dem hajaamka,nkamshow atoke nadai kuishia.to cut the long story short that’s how she lost her job.

You are a bad one.

Nitaendelea kusema,this is an imposter account

:D:D hapo ulifanya poa sana, kama mtu harudishi mkono. wacha aende ,she can as well get a job from her “not to betray” chali yake