In Other News

[ATTACH=full]123957[/ATTACH] Is it a president?? Maybe a drug lord or even a Mafia king pin? Wait, a successful business man?

Nooo, It’s a Pastor from Uganda
:smiley:

5 Likes

Wacha pastor a ’ hustle ’ buanaa

Pastors prey on people’s stupidity. I don’t blame them if they have figured a way of earning 10% of the society’s income hustle-free…including extra benefits such as most talker’s wives.

9 Likes

I’m not surprised wanawake ndio wengi hapo

Hawa pastors waliwafikisha wapi?

Cheki vile vituu dryfry ndio zimemzunguka

Huu upus apana tambua!!

[ATTACH=full]123963[/ATTACH]

2 Likes

It’s a Constitutional right of the Kondoo “kuliwa na mchungaji”!

5 Likes

Ango, just imagine what you’re missing by not starting your own church!

3 Likes

Khocha! That is so you

2 Likes

ni jukumu la kondoo kulisha mchungaji

1 Like

Pewa mbili baridi pastor alipe.

wale wana air aviation TV…sijui io church inakuwanga aje

[ATTACH=full]123982[/ATTACH]

4 Likes

Khocha, mukipiga collabo na ule jamaa wa Kimilili poys pant akue prays and worship leater, roho atashuka. Ulicheki akiimba “It is well wits my soul” I shook his hand vigorously na kumshow bulai wasee

3 Likes

@Ice_Cube tuletee ile sketch ya couple kabarikiwa mtoto ana fanana pastor anawabariki…

Leokim niaje. Nimelewa kiasi SAA hii can’t manage. Will do it kesho kama hitakua imepatikana. Cheers.

3 Likes

Kulibah unapenda kimilili sanaa . Home ni kims ama ?

1 Like

yeye anazi kamua bila kukukua sponsor

Na kikapu ya kuokota mbesha hapo kando