Sasa kuna huyu jamaa wamekosana na mother in-law ati Sababu amekosa pesa Ya kuwaweka stima Kule kwao kijijini,.
Bibi nayeye pia hamuongeleshi.
Hata amejaribu kuwawekea solar power kidogo just for lights. WTF?? ?me Siwes vumilia umeffi
Uliolewa kwa bibi? Tuanzie hapo.
Ni hekaya nimeskia hapa kwa site… .
Khupipi wangu ako kwangu
sasa mimi mwenye hata mahari sijapeleka na watoi ni wa nne si wangekuwa wameninyonga . watu wengine ni mapunju tu this is 2016 si 1916 .
Tell your friend to grow some balls.
inlaws tena? hata sio wazazi wake?
huyo bibi ni Mjinga kama pia yeye anafura, wacha awachwe pekee yake arudi kuolewa nyumbani na relatives basi. shindwe
imagine jamaa hata kwao hajasort maneno na bado anajijenga mdogo mdogo alafu inlaw ana leta ushiet huyo ni upuss ya kutoanisha jamaa
Men are easily swayed by their wives to offer help to her home than he offers to his own mum. That’s why nowadays the girl child is the past ‘golden boy’.
If.you look around, the girl child is actually the one caring for aging parents. Wanaume wanapeleka pesa Kwa in laws.
Hiyo yote ni bibi anafanya. Hiyo solar asiweke.
He should over come His softness and prove himself as His own master. She has to understand that He makes all decisions as He walks and lives by them whether good or bad.
same here.
taste first buy later!
Watu wengine wako na ungamwe sana. Family ya bibi miaka yote wameshindwa kujiwekea stima. mbona sasa wanasumbua kijana. If the power was that important to them, hawangengoja msichana aolewe ndio waanze upuzi.
Reminds me of families that have never owned a car demanding for one as bride price:mad::mad::mad:
BINGWA you can be smelt a mile away
Apunguze umama, aende atoe hio solar na achome io boma kesi baadae, ivo hatutakuwa na keja ya kuweka stima. Umeffi kabisa
I would only do that after I have done it at my old man’s place first. no offence but in-laws can be real pricks
Awaambie waende wakikauka. Hata bibi akitaka arudi aishi kwao kichakani.
Rudisha hiyo bibi kwao.
Kwani huyo jamaa amekuwa sirikali afanye rural electrification? Elec. kuweka ni 15k tuuu si UK alishasema?!
Really?
Wapi ule kicheko Ya pwegegegeeegeeee