@Tommy Lee Sparta kuja utuchapie mbona siku hizi huweki ile thread ya prediction kings. Kwani sports pesa ilioga na mullah yako ya rentiko
kuna ki2 inaitwa inbox…wacha kutusumbua
kuna kitu inaitwa ushoste and your full of it
Kwani hamjui the last few days leiceister assnols tottenham wamekamua watu pesa
unaona vile umeanika uso apo kwa Avi yako…nitakuzaba kofi utulie meffi
To become successful in sports betting, be patient and disciplined.
[ATTACH=full]32880[/ATTACH]
mzito tommy niko …kuna hii team ilifanya 30k zikunywe maji beryern so tunachill game za weeknd …jana kulikuwa na ya berca lakini pesa ya ujinga
bado nakula single bets chini ya maji
rudisha hizo threads, zimenisaidia kukula thao kadhaa, hio ya Bayern ni bahati sikuweka kitu coz wira ilikuwa imenikalia, otherwise zangu zingekunywa maji and I normally don’t bet premier league, mostly ni Spanish, German, PSG na Benfica
hio win ya kwanza ya TLS alibuy mzinga ni venye nililewa nikashindwa kuweka mbisha
@Tommy Lee Sparta alimangwa ile game ya Armenia akarelax
poa kaka nitarudisha mzito …jana nimekula 14k game ya barca…
@Fala 12 wazi kaka