Ile siku tuliguza Celeb,

Last year at such like a time I was nursing dents courtesy of being in the wrong place at the wrong time. I went to the same primary school with John Mark Makwatta, last season’s Kenya premier league top scorer though he was two classes behind me. Since his elder brother Elly was always a guest of the staffroom and the list of shame on parade for the wrong reasons I came to know of John Mark due to his brother’s celebrity status. However, we never became friends though he had an amazing football talent. In the hood we often had those under 14, 15,17, 18 football tournaments where I saw his career grow before he later on joined St. Luke’s Kimilili boys high school. Makwata later on went to join JMJ academy after form four before signing for Nairobi city stars. During my high school days I also discovered by passion for rugby na mchezo ikakua kumbia na mfano wa yai kwa uwanja.

Dec last year tumesign in county 039 23rd  December usiku from 032. As culture dictates nikatulia due to fatigue but 24th to 27th ilikua ni kulewa tu. During this period I used to wake up eat breakfast and get lost, kurudi ni kama utakuwa sober enough. Ukiwa maji kiasi una postpone kurudi hadi kesho. On 30th and 31st December there is an annual tournament, Webuye 10’s. This tournament is often graced by rugby bigwigs within the region such as Paul Murunga and other notable players in both the 7’s and 15’s national team.  Hii tournament huwa na prize money 15k na hio ni pesa players hujua ni ya drinks which is sufficient motivation during the festival season. Sa juu ya hio story ya hela ya drinks, game huwa ngumu kushinda Kenya cup juu drinks are at stake. On 31st Dec 2016 tuli manage kufika finali but watu wa  Webuye waka amua pesa inabaki Webuye. Tukajaribu but the referee was not neutral We lost to webuye in very controversial refereeing decisions leaving us bitter but in the spirit of sportsmanship tukakubali kurudi Bungoma town mkono mtupu.

Kufika tao around 8pm wasee walikua na machungu kabisa, hadi any argument lazima ingegusia wizi ya referee na watu wa Webuye. Tukaingia ka local tukalima mzinga mbili za Popov tukiwa mtu sita hadi kitu hadi 10pm. Saa hio other team members walienda their own ways. After hapo tukadunda Vodka Martini. The best club in 039 by then. Kufika huko there was a buzz of activity. New faces ni nyingi sana dunda hio day. During the just concluded season John Mark had scooped the top scorer award and rumours were high he was enroute to Europe “kucheza ball ya kulipwa”. To add on that kijana alikua an army officer while plying his trade for Ulinzi. From investigation nkaskia Makwata was in the building and old friends walikua wanashikwa mbili mbili. Tukajitafutia space, tukaketi tukaitisha mzinga mbili za Richot to down our sorrows. Kiasi boy wetu mmoja let me call him Jack akatoka ati kutafuta dem wa kusumbua alete kwa meza. Nika angalia poa Jack anaenda side watu wamejaa. Me nkaendelea na drinks.

Hata five minutes hazikuisha nkaona there was a commotion ni kama mob inapiga mwizi. Kuangalia poa ni Jack anapigwa. First impulse ilikua kumuokoa. Tukafika war zone, sukuma wasee kadhaa came face to face with Makwata. Nika muuliza “shida ni nini?” Ninja ikadai boy wetu ana madharau. Kumu ulizia akanishow Jack ameishia kukatia manzi ya Makwata na Makwata kumu ulizia anaongea ngware. Kama bado namshow ma pole atulie jamaa fulani ameona Jack ngumi ya sura. Nka skuma jamaa. Jack naye akajibu ngumi hadi ninja ika anguka. Huyu jamaa kuamka aliamaka with a blody face na chupa ya mzinga. Hapa nkajua chupa ikitoka ni police case, nkarukia msee tukadunda. Hio ndo makosa kubwa nlifanya!! Ile rende yote ya kuabudu Makwata ilitunyeshea unapigwa kama mwizi. Sio mateke, kukanyagwa, rushiwa viti, na kuporwa mfuko etc. Crew yangu ilijaribu kutuokoa na Jack but they were overwhelmed. Ilikuwa unatupa ngumi moja unajibiwa na flying kick, ngumi and more flying kicks. Ilibidi mziki isimamishwe, rende ya makwata ikatolewa then pia sisi bouncer akatushow tutoke tutarudi matime juu makarau wameitwa juu Makwata ni Soldier na akiumia itakua issue. Biggest mistake!! Out of the frying pan into the fire!

Kufika nje zile majamaa zilitolewa za kwanza zime mobilize wasee wa boda boda!, Nimezubaa hivi bado natishia fala mmoja ati “Unajua naeza ku umiza?”, rungu ya mgongo! Kuangalia msee amenichapa bana ni msee amevaa reflector jacket na wako na more crude weapons. Nka mu uliza mbona umenipiga? Big mistake, rungu ingine kwa kichwa!, ingine kwa mabega! Kuangalia kando, my crew pia wana shughulikiwa. Nkajua hapa ni maboda wata tu uwa watuekelee wezi, Nkatafuta mwanya ya kuhepa nkaona iko tu place watu walikua wame zunguka wanapiga my other friends. Funny thing kwa ile circle ni hood rats wanatupiga. Wale wasee tunajua kabisa but sa juu umeguza source ya beer mbili lazima jamaa pladges allegiance. Nliinuka mara moja kama nimepita kati kati ya umati nikagonga msee wa boda mmoja akadunda. Brake ya kwanza nlisimamia close to a kilometer after realizing hakuna mtu ana nifuata. Kuangalia mfuko hakuna simu, hakuna wallet. Thankfully kuna 500 nlikua nimeseti kwa socks after game for emergencies. T-shirt nlikua nayo had been shredded to pieces nkatoa nkatupa, nka amua kuishia home juu nlijua boda wakinishika ni potential death. Nkatembea kiasi hadi stage ya boda nkapanda boda hadi home. Kufika home nkaingia keja kisniper kama nimelala. Usingizi nayo ilikawia sana kunichukua juu ya uchungu, kushtuka, na suspense. Maboys wali make ama kesho ni matanga?

[ATTACH=full]149263[/ATTACH]

Weka summary

brathe iza

nlishapoa

Maliza story, wengine walijitoa aje?

Wololo boy child.

:D:D:D pole buddah

Fastest route to hell…club and street fights

Ni heri isemwe kwa matanga mlijaribu mkashindwa kulikoa iwe mliona boy wenu akiuliwa.

Heheee. Mimi nishawai toka kwa pub eldie teke with my crew, ndani ya dinga. I came to my senses when near Kitale nasikwa naenda huko, I was headed to naks. We beat up a bunch of giys tukiwa watatu and they disappeared. The barmaid who was serving us and nilikua namkatia, gave me the heads up that they had gone to regroup and marshall back up. My buddy had insisted on shooting pool beer game kumbe that is their set up, a disagreement starts they beat you and loot. Too bad they didnt know my buddy had back up. But walitupora 40k luckily that was the cash we were to waste and we had given it to one guy to handle the expenditure while we kept back up cash, that is what saved us on our way to kitale

:D:D:D boss always walk away from bar brawls ! Kama hamkuja na mwanamke msisumbue wa wenyewe !

Easier said than done, that is one key reason why people club

bro ya makwata namtambua poa sana

Elly ama ule mkubwa?

weka like pale juu

Men you grwo up when this doesn’t become part of your life…had to drop some friends cuz of this shit…unamwmbie mse tulia…mse bado analeta show na ako high na hamko mtaani…
[ATTACH=full]149330[/ATTACH]
before you know it …ma viti zinarushwa
[ATTACH=full]149333[/ATTACH]
fuck that life…had to let go niggas who couldn’t handle their drink and don have common sense…too many bloody noses…funny i never used to loose my phone…break the screen yep but kuibiwa…sahau…

What happened to the madame 20 guys were fighting over?

:D:D:D:D:D

elly alikua sumbua sana

hata Mimi nikipata chance ya kuflogg ruffneck I can’t let it pass