Iko mtu anatoa machozi leo

Just passed by ile stage ya railways, naona ile project ilikuwa inaendelea kwa hako ka land imebomolewa vibaya sana.Si huyo jamaa ameenda hasara, hao zilikuwa zimebakisha mlango tu.This lands issue in kenya is getting out of hand.I’m sure iko some big fish alikuwa amekula tayari.

Hekaya za abunwasi…

1 Like

Hii ndio ubaya ya kushinda ocha, mambo inaendelea na hamjui.Sipigangi picha ovyo ovyo

toa hekaya hapa pekeka

mharo.ch.oo

ama

ghasiakeyno.ch.oo

@highschooler hiyo simu unatumia iko na shida ya kuwaste space, ama ni vidole zako kubwa haziwezi type.Upgrade yourself.

Usiniulize utoto…

@highschooler nimekureport, wacha nyapara akuchukulie hatua, usinilaumu.

Phew…! I had read ‘he has obscene fingers’ juu ya kusoma mbio mbio…

1 Like

Poa poa boss :wink:

Some people hVe kabambes n laptops so don’t expect pics from them