If you know these old words tukutane hapo nje kidogo

Monzo - cigarette
Fe - Gun
Ruta - Snatch forcefully
Puru - Candy
Gondi - Thief

Add more
Let’s see wazee wa kijiji ni kina nani

Sheng ya kush kanono

Moti - Gari
Nyap - ??

Ngwai

Ndom
Ndingo
Sanse
Walalo
Senye

Ngoto
Diambo

Fiuu
Ponyi
Oboho
Maosonyo

Walalo ni msomali na senye ni sexs

Senye ni nyap

Ndururu - 5 cents
Kobwang - 5 bob
Ponyi/ Nine Nine - Police
Ngwetes/ Kaasho - Ngumi/ Blow
Ako Ridho - He’s alert
Senye - Punani
Chiviu - Catapult ilikua inatumia waya ya stima.
Duf mpararo - swimo ya mtaa.
Game and Watch/GameBoy- Playstation ya 90’s.
BMX - bike.
Safo - Safari Rally… Lancia Delta Intergrale, Shakhar Mehta, Juha Kankunnen and Juha Pironnen.

Maosonyo ni what?

Kusosi

Nipe

Nope, Senye ni Nyap.

Kama uliendesha hii bike wewe ni otero,
Na zile moti za waya, safo (Safari Rally Cars) za mkebe ya Kimbo na Cowboy.

[ATTACH=full]476448[/ATTACH]

… Maze apo kwa “chuviu” na “duf mpararo” umenirudisha mbaka pale geri yetu ya sao (now ksouth) , izo ndio zikuanga “Hunger gamez” zetu . Kwanza ungekua na chuviu ya kariaria na skari ngutu ulikua ready for war

Fiuu - Original chwani/ 50 cents. Oboho = Fala/ Weri.

We used to shine ma-ng’och with battery acid to turn them into mabob inorder to buy assortment of puruz

Madang dang - Mathutha - marasa

Madigda - makunyii - marasa

Nyasai konye - xxx
Kalesa - kuenda miguu
Maram - githeri
Kanywester - deki - msedes