1 Like
za kenya ni dwanzi basi unaweka glue trap badala ikuje na mbao pia itumie kama bridge inalala hapo na kuhara.
1 Like
Hio panya imekuwa eyewitness ya kutosha.. imeona vile wenzake wameenda sayuni
1 Like
Wait until you see ile ingine panya iki shower
Hata za huku zikijua zimekula rat and rat zinakimbia kunywa maji then zinasurvive.
1 Like