if all were like rasanga aka Rasa

ati rasanga amesema mtu mwenye hakumpea support atembeze viatu as from Tuesday…imagine if Uhuru did the same, wenye hawakumpea support wasireport works come 1st of sep…RASA wacha Urasa

http://www.nation.co.ke/counties/Siaya/Rasanga-sacks-Siaya-county-staff/1183322-4065366-ntekduz/index.html

He warned county staff…vile mwingine aliambia Makueni Chiefs…

3 Likes

He he he he he he. 15 more years with this bitterness si utakuwa bitter kuliko bile yenyewe?

5 Likes

hii rasa siimejiwekea bullseye mgongoni? wakenya na kisasi utaskia rasa ilikanyagwa na punda na punda ikatoweka

Owes click regional manager

Thats Bullshit. Hehe