Ice man 3D, Espy, Heaven on Earth, Behaviourist mkuje huku

Haa haa haa aiseee embu mwambie npo hapa welson airport anibakishie hyo gither

Nimekuja mbio nidokoe…kumbe @Demiss yupo na kaka @Mshana Jr imebidi nijifiche:D:D

Ahhahahaha aiseee usiniambie poleee

Hauna tofauti na Mapera

Aisee

Duh!

upo huku? mi nimewaachia jina kulekule

Miss you brother (Iceman 3D)

So ukienda msalani mzigo unakuwa wa haja au?! (Ule wa kujaza sinki)