Ice man 3D, Espy, Heaven on Earth, Behaviourist mkuje huku

Ninapika pilau ya prawns na ugali wa mtama uchaguzi ni wenu

Ngoja nikae hapa kando nidoee
Kwa wenyewe

Kuna dagaa mchele?

@Iceman 3D kapata dem wa lang’ata anapikiwa githeri

Lol hivi nimeitwa huku?

Picha jamani

[ATTACH=full]178696[/ATTACH][ATTACH=full]178697[/ATTACH]

Ugali wa mtama upo hivyo kama wa muhogo sijawahi kula huu ugali

Ndio huo mkuu.
Lakini ukenda msalani, hakikisha unabeba kisu cha kukatia Gogo… tehteehhh

Usimtishe bwana ni mzuri kwa afya

Eeeenh kumbe ndio unafanya hivyo

Nimeuogopa

Hapana unasafisha utumbo mkubwa, una fibre

Oooh nitajitahidi kuutafuta sijui nitauweza kula

Ukikusginda kukula, nitakuja nikulishe

Hahahaha haya ukinishinda nikamwambia ili unilishe

Nimewamiss saaana jamanii… Umemsahau Mbalizi1

Na Nokia83

Hawajapajua huku au…
Na Daby

Haa haa haa aiseee embu mwambie npo hapa welson airport anibakishie hyo gither