I wanna drive people crazy, and get paid for it

Wadau,
Ninasaka kazi ya dereva. My DL is BCE with 8 years experience. Cjaaply for PSV, but nikapata nitaaaply ASAP.

Nko na degree but imebidi nijaribu kama DL yangu itanipea kazi.

Any leads will be appreciated.

Cc @Meria Mata and billionare @Riva

Pia ongea na @Motokubwa

uko na huduma number?

Umbwer wewe huduma namba ID inatoka August. Patia yeye kazi hatakama ni ya caretaker kwa pigsty zako.

Nko na acknowledgement note kwa saa hii…