kama ni wewe ungefanya nini?

Kama ni kitu nilishampa mzae na masa akaamua kuharibu juu wamekosana na yeye or something like that, naacha wasettle kivyao. Siingilii upus ya watu wawili wamenyambiana kwa blanketi moja.
Tricky sana but generally as a man I would tend to side with mum… am betting huyo mzee after kupewa gari alianza kukatiana nayo na madharao
As an elder who doesn’t care about another man’s family , I wouldn’t mind . Wapambane na Hali Yao .I can’t even call or answer on anything. Ukipeana kitu sahau
Ushapeana. Its no in your hands.
The vehicle is under which name?
Ukinunulia mzazi shamba au gari it stays in your name na kila sibling ajue wewe ndio ulinunua wasilete ujinga later . To avoid bullshhitt akidedi . Pia unaeka kwa Will info kwamba ni yake ukidedi b4 them bibi asi wa actie.
Mzae amekuwa village cockerel.
Hii sio gari ya kununulia mzae
Pole pole elder
Labda alinunulia mzae asukume uber nayo
Hapo it’s about scratching where one can get to.
Don’t look at the teeth horse… Whatever… unaelewa
Exactly, Mzee anashikiwa Prado ama Pajero old model ya kutumia diesel
Wapi!!! Mzee alienda kusaka soft meat na kuwapea lift. Na akajifunza sheng…mbona matha asikatsike
![]()
![]()
Pick up
Ulisema uko worth 40 mirrions??
![]()
Kwa hivyo hutaki maneno ya Demios and other dudus.
Alete cctv footage tujue ni masa.
Amesema motive ni mama hapendi efforts zake.