I just visited jamiiforums. Hii kijiji yetu ni joke

The UI is neat, minimalist and user friendly. Well presented and navigable by everyone. I’m embarrassed to even compare that forum with the crap we have here

Jamii forums founder has rented offices for his stuff to run the website. It’s professionally run. @blaze1

3 Likes

Admin asipo improve apa I’ll bring home the competition.

1 Like

This forum has been turned into total garbage by the visionless drunkard admeans

8 Likes

Hii Interface haileti raha at all I only log in here as an afterthought. The previous kenyatalk I used to camp there hata fb na twitter sikua naenda. Right now imekua relegated to my fourth most visited site

6 Likes

Hehe kwani hawa wetu wana operate from where? Ama ni kutumiwa mbundos ukiwa free from your regular gig unaingia Kijiji to address whatever issues?

2 Likes

Uku kijiji ni kwa ma Rasta bana. Hapa unapata ma hard-core criminals haina zote. Ni ma majambazz sugu na outlaws ndo wana operate kwa hii yard.

1 Like

JF iko poa zaidi. Ladies are not overly molested over there so it’s not a men only affair like ktalk. What amazes me is that guys seem to be hooked to the site. Once saw some 400 members online at 11 pm. Kijiji ya power hio

Kumbukeni the younger generation doesn’t give a crap about Kenyatalk. Wote wamehamia Reddit.

Ukitaka kucompare Kenya na Tanzania, use Reddit sio website kama hii au Jamii Forums.

I used to be a guest at Kenyanlist but sikuwahi join. Nilijoin Kenyatalk. Nowadays na hii UI I only log in after checking social media and Reddit. It is a last resort juu admin ni kichwa ngumu na hii interface mpya. It is a massive downgrade for user experience.

5 Likes

Ubaya ni kwamba Hawa vichwa ngumu hawaskizi mtu yeyote.

1 Like

@administrator mnyambuo ya @punda ni umbwa koko, takataka ya mwanamke

2 Likes

leteni compe ya xenoforo banae

ujinga ya io JF ni io kiswahili ningehamia huko kuna threads za maana na mingi

1 Like

Hii UI ilimaliza utamu wa kijiji.

2 Likes

Na pia migration to new ui was done haphazardly. We lost many good members during the shift. Wengine tukapotezs old handles

3 Likes

Jamii forums wanatumia xenforo hii Ruby site yetu ni Bonoko

1 Like

Lete compe bana tunaumie mbaya sana

The only real criminals her ni wewe mwizi wa punda na @johntez_addi_gaza_ms mwizi wa pantie

2 Likes

You are a criminal by association. Nugu hii …