I don't understand how such creativity makes someone cry

[ATTACH=full]101953[/ATTACH]

Angekubali tu his song was absolute shit hii story haingewai endelea hivi vyote. Sasa anaona akitoa machozi ndio wakenya watamsamehea? Hajui ameinvite simba to move in for the kill (his career) awache kutusumbua na nyimbo hazina mbele wala nyuma

heheh ata mimi niliona akilia nikajua huyu amejiletea shida…he should either make it or make it. There is no surprise coming from him

wapi vcd akilia…and what made him cry, ama ilikua amekujolewa na ndomba

Anita Nderu alikua pale zile za “aki now wtf am I 'posed to do aki?” :D:D

https://www.youtube.com/watch?v=oSubZCy1EOE

hahaha have you ever dealt with an upcoming artist? hata kama ni rela? ukimshow ukweli utaitwa hater bana. unawachanga mtu aendelee tu. lazima kuna mtu atasikiza wimbo yake

Alafu pia utaitwa “ule jamaa wa kuua dreams za watu”

he was looking for CHEAP PUBLICILTY…because no press is bad press.