Huyu kijana ya Waititu inheritance ni kama atasquander yote

1 Like

Pesa ya waititu ameiba hawezi maliza.

Useless kipii

babab mwizi, mama mwizi mtoto mlevi ,pesaya umma

6 Likes

Aendelee hivo hivo…huyu haendi mbali sana

Pesa ya wizi ukilea watoi nayo matokeo ni hii.