“Nikipewa nafasi ya kuiongoza Tanzania cha kwanza nitahakikisha watu wale washibe na sio kuwatengenezea reli”- Hashim Rungwe[ATTACH=full]178444[/ATTACH]
“Usimuamini mwanasiasa hata kama ni baba yako mzazi”.
Huyu anasema hivi sababu hajapata bado akipata atasahau yote haya anayoyasema sasahivi,kwani mwenzie alikuwaje?
Huyu mzee mimi ananifurahishaga sana…
ndio maana siasa siipendi
Ila wewe inakupenda ndio maana inakuamulia maisa yako.
Hahaha Haya bwana
huyu naye
Kuna wakati walimpeleka Central baada ya hapo alikuwa kimya kwa muda mrefu.
Politics plus comedy
NIlimpa kura yangu huyo!!!
Wewe!
Ahsante kwa jibu hili. Sitakaa nimuamini mwanasiasa.
“Nahemea na nyumbani wale washibe…”
Bila kushiba ubongo wa binadamu huwa dhaifu mno.
Khaa! Na ulitegemea kabisa kuwa angeweza kushinda urais? Yaani ni sawa na kuharibu kura yako tu!
Kaka
Binadamu tunaongeaga mazuri kabla ya kupewa nafasi… tukishapata matako hulia mbwata…
Hata uwe nani, ukipewa kiti, utakua vile katika inavyokutaka uwe…
Cc: @Mahondaw
Mkuu Pascal Mayalla Nakuona upo.Safi sana!