Huwa wanajisikiaje?

Naomba nipate uzoefu kwa wadau ambao wako kwenye tasnia hii ya ualimu, kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu, wanafunzi wakiwa wanafeli kwenye somo lako, unajisikiaje? kwamba uko vizuri unatoa nondo mpaka unaowafundisha hawaelewi, au ni dalili ya kwamba unachofundisha hawakuelewi kiasi ya kwamba unatakiwa uangalie namna nyingine ya ufundishaji? lakini naona katika elimu za kitanzania naona kama walimu wake wanafurahia wanafunzi wakifeli? hasa katika elimu ya juu, ni vizuri tukapata uzoefu na kwa wadau waliosoma vyuo vya nje watupe uzoefu wao. debate opened and your warmly welcome to the floor!

Na mishahara/maslahi/madai yao hao walimu vipi? Mmeshawahi fikiria wao wanajisikiaje?

Hmm!.. Kaazi kwelikweli…

Stress mishahara duni tuition mmezuia halafu useme Nani mchawi…anajulikana Kabisa

[quote=“Mshomba, post:4, topic:164454”]

Stress mishahara duni tuition mmezuia halafu useme Nani mchawi…anajulikana Kabisa
[/QUOTE Kwahiyo hii inaenda mpaka University mkuu? basi kazi ipo, tutakuwa na vyeti vingi mkononi lakini technicalities know how hamna kitu![/QUOTE]

Ndio kwa kua Tatizo huanzia toka Huku chini

Kama ni wanafunzi wa baba jesca wacha wafeli tu. Maninaaaa

Waalimu wa hesabu mje huku mtoe majibu

Na hao ndiyo hatari zaidi walivyoambiwa hesabu ni ngumu, they are not thinking on how to simplify it!‍♂️‍♂️‍♂️

Kuna wanafunzi wengine wamerithi ‘kichwa kigumu’.
Hata nifundisheje nikishamnotice simuadhibu kabisa

Unamuacha apambane na hali yake siyo?

Mwanafunzi wa aina hii lazima anakuwa na uwezo mkubwa kwenye mambo mengine yasiyohusiana na vitabu. Ni muhimu kukawa na extra curricular activities mashuleni ili wanafunzi wapate nafasi ya kukuza vipaji vyao nje ya darasani.

Kutomuadhibu ni kumuacha apambane na hali yake?Hata akiadhibiwa wakati amerithi nitakuwa nimemsaidia nini?