Huwa namind mnooo....

Hivi wanawake wenzangu huwa mnajitulizaje na hii hali…Hakuna siku huwa nachukia kama siku naamka nna good mood ya kugegedwa, naanza kujiandaa kiakili, kimwili na mengineyo.

maandalizi yanaanzia kwenye usafi mchana au alasiri hivi nafanya usafi room kitanda kinatandikwa vizuri kabisa na nnahakikisha dogo hasogei kukivuruga make sijamtandikia yeye kama kuna udi ndani basi ndo muda wake.

nikimaliza naenda jikoni viwali maharage siku hiyo navipa off, naandaa msosi anaoupenda, mezani naweka mwenyewe yani siagizi hata toothpicks kila kitu naandaa mie huku nikiwa mwenye furaha kabisa.

Naingia kuoga najua ndo mida inakaribia najiweka mkao wa kuliwa kanga moko huyoo kwa bed, nacheki cheki saa mara nusu saa, lisaa, masaa mawili hatokei kwa mbaaali naanza kuiona kabisa siku inavoharibika (masimu simu sijui uko wapi sifanyagi nasubiri tu, akipotea si atatangazwa hata itv).

Masaa matatu patupu naanza kujihisi misonyo inapita pita kichwani, siku ishaniharibikia ubize woote maandalizi yoote kazi bure!!! Anakuja kachelewa nyege zimeshayeyushwa na hasira basi hata achelewe yupo fresh labda ntamgusa na wowowo la moto nimpe tabu tuchange mawazo ndo kwanzaa yupo vyombo wowowo linazidi kumpa usingizi aaaaagrrrr!!! hasira zimeanza upya kama nkalale jikoni vile sijui siku yangu itaishaje.
3:22AM

Pole… sio ham ya kugegedwa tu saa nyingine umelimiss af linakuvuruga kabisaaaa, we’re in the same boat!

hahahaaa hatari sana, ndo maana wengine wanaanzaga kuongezea mafiga ili chungu kikae fresh, maisha yenyewe mafupi haya, au wengine Vidole na doldo zinafanya kazi, Looh, l love jf

Doh,jamani niko ktk maandalizi hapa ya shughuli pendwa ,nitarudi baadae

Hebu ngoja kwanza nikasome upya…

POle sana…uwe unatoa taarifa mapema…sio kujifanyia mambo kimya kimya.

kikosi cha uokoaji nakuona nakuona

Hayo ni mengineyo, situation itakukuta hata kama michepuko ipo teh

:D:D:D

Haaaaahaaaaaaa.Balaaaaa.Watu wengi hatujui tuu.Mapenzi yafanyike mchana jamani matamu saana. Sema tu kwa kuwa tunakuwa makazini ndio maana wengi wetu tunashindwa. Pia mapenzi yafanyike popote mnapojisikia.Mapenzi ya kila siku kitandani hupoteza hamasa.

Inakera mno

Badala ya kutoa taarifa mapema,wewe unakaa kimya…hapo ni kama umebeti messi to score,wazee wa kubet najua tumeelewana

aisee…

pole…

Lakini si umwambie…

Bado tuko mishale ya Morning Glory…

Muwe mnasema…

Ngoja nimalizie Serengeti lite yangu nikagegede nisije nikamboa mtu

Kuna hawa wanakuandaa wenyewe, toka asubuhi vi message vya mahaba havipungui mara visimu visivyokuwa na maana. Bi dada unafanya kila uwezalo unatoka kazini mapema. Maandalizi kedekede, mtu hatokei. Saa tatu anakupigia simu yupo sehemu anawatch football. :eek::eek: :mad::mad:

Hainogi

Basi muendelee kupambana na yajayo…kwani yanafurahisha

Nakusalimia sana.

Yanaumiza