Hawa watakosana by the next meet
Wana discuss elders wa ktalk…
Kwanza huyo wa katikati ako zile za.. “ire kinjana @Silverback83 ariniambia nkae musuri ati bedofa. Mi nakuabia mama shiro ire dulu niripinga hadi sonja arikunja kumbisha mlango”
Alafu huyo mumama mwingine anauliza, “na hao finjana wa ktalk wanatoa wapi our contacts”
Huyo muma wa katikati anaongezea, “wanasemaga mari musuri inaedagha shain shain, wanapeana thuru pass kama ire mchesaji ya Arsena Fc..” “Ozir”… yeah osir
Hiyo mwingine anabaki anitisha digits za elder. Anapewa number ya @Kahawa_vajo. Anaishi ku regret.
Wakenya wanapenda hii tabia ya ushamba. Ati kuchafua meza.
Why must they have the whole table spewing with beer? Can’t they just order at least 3 bottles each na wakuwe wakiongezea.
@rexxsimba ndio amenunua hizo beer. Mwanamke atumie pesa yake kujinunulia beer hio kiasi ataenda kulia kwa choo jioni mzima. Hao hujinunulia mbili kama mingi alafu wananyonya polepole wakingoja mbwa kama rexx.
funika formica manenoz…

