Like the hustler I am … my today’s journey to take my lunch …
Perfecto.
Hapo ni jogoo road ama?
swafe
Hapa ni westy…hapo mathenge chini?
Hapo sawa mzito mwili haujengwi na mawe.
wewe unaishi Nairobi gani …
eeeh
kweli…
Yani you expect mtu aone roundabout and immediately know which one it is??? You know there are hundreds of those things in nai?? Shenji!
io place ata ikai kukaribia jogoo road … meffiiii
huyo ni expert wa jogoo road, msamehe
hahaha…
Endanga hapo mbele, Fiesta restaurant ukule fish ya maana. Achana hapa kwa gate kuna dust.
btw … i’ll try soon
Just make sure its not between 1pm-1.45pm. Its too packed up at that hour. 12.30 or 1.45 pm will do. Take fish wet, ugali, sukuma kachumbari pilipili, thank me later
Fuck you fool! Learn how to post images like an adult! Ndûma ya mwanake!
Elder priss jifunze kuattach mbica.
Kiruma swaffi lakini