Humble request

Wanakijiji niajeni. Hope yall are doing well. Am only here kuomba kazi… did i.t have a few skills here and there. Front end javascript. Html css… .
But currently sina laptop. Nor a house. Nor anything. I just want anywhere na

Turedio patia Huyu kazi ya turdmean

next year wakati kama huu letea elders ushuhud vile safari imekuwa.

Anza tu na hao, si lazima ukuwe na laptop. As for job, try at places that fix phones over IT jobs. Those aren’t so many at the moment.

Walai tena nitaleta… let me put in the effort sahi ya kutafuta…

Hiyo job ya ku fix phones. How technical is it.?

Naeza pata hii?.

Not so much, but it’s faster if you apprentice somewhere coz you will be handling low voltage (3v - 12v) a lot. If you are a good learner you can open your own place in 3 months with a voltmeter, cellotape na soldering wire. You’ll get referrals since there’s many phones with issues, you’ll be sorted in no time.

@Heke ni fala

Shida ni just walking into a strangers shop in town na kumwambia unataka kufanya this and that. Or akufunze hii.. its better kupata refferals online.

???

:D:D:D

Wacha ufala. Just tuck in your balls and walk in. The worst that can happen ni jamaa aseme NO of which unasonga kwa duka ingine. My bet is that kuna shop that would do with a spare set of hands since kama ni kulipwa unalipwa piecemeal sii story za salo. As someone said, jitume while networking with customers na ujue mashimo ya spare parts.

fafanua

Naweza kupea MTU akufunze, but lazima fees.

I guess ill use this idea to look for something else meanwhile…

Fees wacha tu… kuna mtu alini scam huku. Ill find a way thank you.

Okay , Saturday poa.

Hakuna mtu hufanya IT na hajuu base hata moja ya kufic maphone… si ukisema unataka anywhere? Hizo ndio job ziko…