Wakuu hivi hii kesi imeishia wapi,mara ya mwisho tulisikia wazee wa Baraza wametaka watuhumiwa waachiwe huru.
Si kwa mbio nilizokuja nazo jamani!!! kumbe na wewe unaulizia!!!
Lah yule dada wa marehemu msuya aliuawa kinyama saana; haki itendeke lahh
Kesi moja ina double killing…
Imefikia pazuri mno
Wapi hapo mkuu
Ile kesi inanuka rushwa , kuna watu watafungwa wakiwa hawana hatia na wenye makosa wataendelea kudunda mtaani.
usishangae kesho hakimu akiamuru Polisi ikawatafute watuhumiwa halisi maana hao hawana hatia…kesi ya pesa huamriwa kwa pesa.
Ila Sidhani kama haki inanunuliwa kwa pesa mwisho wake huwa Sio mzuri
Bahatimbaya kesho ni jumamosi mkuu… tehteehhh
kwani huyo dadake aliuawa kisa hiyo kesi?
hahaha dona kantre
Hahah!!