Huduma Namba

Incoming MCA ameenda kuchukua huduma numba hapa kwa estate…Kufika hapo I was #8 kwa line. Hatuko watu wengi so I thought I would be done in a snap…waaah!!! It took the first guy 15 minutes to get registered na kupigwa picha. Wa pili it took almost the same time…Nilipiga hesabu yangu nikaona if that is the pace I will get registered kesho kutwa…Nimechukua cheki maneno yangu nikaamua nijipe shuguli. I’m not boarding this huduma namba thing…Uhuru apeane two days holiday tuchukue hii kitu or else asikuwe surprised if total Kenyans registered don’t reach 1 million

[ATTACH=full]233501[/ATTACH]

juzi nimeenda kununulia kijana cheki maneno pale thika main stage, jamaa aksema 14k, nikasema hio sina, akasema 12k, sina, 10k sina. As I was leaving, akaniuliza niko na ngapi.

Ghassia we don’t care

Bado we hucheza FIFA kwa PS1?

Ndio nacheza nintendo Gameboy hata si PS1

2016 yote hatukuwa tunapumua hapa ktalk. Kila weekend ilikuwa picha ya pad ya PS1

Barabara ni cabro juu chini, footpaths na pedestrian walks ni sawa, cheki maneno poa.

Watu wa Kayole kama ile Bukusu ya Herpes pambaneni na hali yenu…

:DMzae bado unaweza balance Kwa black mamba ?

Matiangi said over 5 million registered

They are lying that so far 5m people have registered

Wajua serikali huwa inajiichocha.

Shetani mkubwa

That’s roughly 17,000 people per constituency

Huwezi pata baiskeli ya maana mpya on the cheap

Hii namba ni ya shetani hatuchukui!

Naona unajali maslahi ya mazingira na ya future voters. Hautaki gari iwatolee vumbi wakunyime kura 2022.

Hehe huyo jamaa hana shii my fren @mtongwe

Uongo mtupu. Serikali itafanya anything possible ndo mu apply huduma namba including lying.

Si mupia, if you know Thika main stage, you must know the guy who sells 4th hand cheki maneno.