Kwa jumla tu. Roho safi.
Mtu akiwasilisha mada kwa ktalk, kwa mfano: “Simu za android ni bora kuliko iphone” Halafu anachambua kwa kina mwisho anabwagiza barabara anapost akijiskia ameeleza kwa kina yote yaliyo moyoni kuhusiana na subject yenyewe ambayo ameitaja.
Mtu wa kwanza kuingia anakuja anasooooma, anajaribu, anasoooma, anajaribu kuelewa anajipata, kidogo haelewi. Hajawahi kutumia iphone labda.
Sasa anaenda pale chini anaandika kwa herufi ndogo: “meffi”
Wa pili anakuja vilevile, anaangalia anaona hayo ni mambo ya kiteknolojia, wala haelewi. Kidogo akiona pale chini mwenzake ameweka, “meffi.” Sasa na yeye anaingilia kwa haraka, “MEFFIIIIIIIII”
Wa tatu hasomi. Anaenda straight pale kwa kisanduku cha smilies anatafuta haraka haraka anapata ile yake sasa anaweka line kuuuubwa yake hivi,
:meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi::meffi:
Basi. Sasa hiyo si mada tena. Imeshachapa. Imekufa.
Sasa wataingia wachochezi wengine nao waseme meffi meffi meffi woooooote mpaka wachoke na meffi. Mwengine aingie aanzie chochezi tofauti.
U
P
U
U
U
S
S
S
S
S
!
!
!
By the end of the day, UPUSS na meffi ndio the take home message.
Heheheeeee…
Nkt.
Hayo tu.