How to Export Goats and Goat Products to International Markets

Kuna cartels hawezi toboa

Hakuna kitu kama hiyo. Hiyo shit ndio inafanya watu wanajiLimit. I have examples of guys doing it in Kwale, Lamu, Malindi na Mtito Andei.

2 Likes

shida ni kupata mzigo inaweza kuwa exported, ni shida tupu.

sasa ivi ukitaka mbuzi kiasi fulani, utatembea soko zote hadi kathonzweni na hutajaza truck.