How to DryFry a chipo....biraru style

Get a pack of chips preferably @sanford especially if you live in kayole like @uncle nyam

Fika nyumbani, washa jiko or stove

Wekelea sufuria kwa moto, katakata kitunguu na nyanya na uweke

Add a little oil

Stir them till brown

Add the chips and continue stirring in low heat for 5 or so minutes

Serve while hot!

:p:p:p:p:p

5 Likes

kubaff

Inakuwanga tamu sana. Also if you buy fries and leave them on a plate overnight then fry them again in the morning using the same style they become so sweet

2 Likes

What are you!!!

chief chef @ karumaindo Inn

Inakaa wewe umenunua chips mara mob manzi wanakosa Ku turn up unawekewa kwa juala unarudi nazo bedsitter

https://i.imgflip.com/oztic.gif

5 Likes

clearly, we can tell to whom that happens!

bure kabisa

nunua mtura ya mbao sprinkle the mince meat on the chipo. continue stirring

3 Likes

Nugu, na venye nimeclick haraka haraka.

1 Like

:D:D

Re-fry/heat over night Fries alafu tengeneza kachumbari (tomatoes, onions, chilli & mwagilia ndimu on top)…when Chipo is ready and hot mix it with the kachumbari…kisha pika mayai fry (mayai jicho is the best)…wekelea mezani na kuteremusha ni passion juice str8 from the fridge

2 Likes

:mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad:
Kumbe chipo ni viazi?

naona bangi za jana hazijashuka… piga supu boss

wanaume mna ufala

naona watu hapa wanaeza karanga ata mavi

aki jay :D:D:D:D:D:D

1 Like

sasa hii @Nefertities ni shemale or wot

fala wewe

1 Like

you wish…