How much have you spent on lanye and alcohol this year?

Umespend pesa ngapi on lanye and alcohol this year? Unafeel hio pesa ungetumia kufanya nini? haha

Huku jina lanye isipotajwa in the next 10 seconds ni kama watu watakuwa wagonjwa.

I think Ktalk has over 100 posts on different topics every day. You can choose what to ignore instead of bitching…

Some elder wame apend at least 3k kila wiki. Approximately 160k on lanye na another 100k on akoho.

Elder mna pesa kweli

Another pombe post
image_search_1766382153107

Last week i spent like 8k.

Jana i spent 3k.

  • transport and phone charges aside

.
why
What The Hell Wtf GIF

500 total.

Peasant thread. Tunatibu hang’i na wewe unaleta maswali ya kisenz

Alcohol has ZERO BENEFITS to the consumer. only benefits the bar owner. Na hizo vidole kwani wewe ni chain smoker?

To each his own. Occasional smoker. Nikiwa jaba or nursing a hangover

Approx 50k on lanyes and 0 on Alcohol

Watu wako na pesa. This year nakunywa only Christmas cz fees inaningoja next year

How can you tell if someone is a smoker? Kwani what’s wrong with his hands. Hebu explain more

The difference between kijiji na mukuru

Irony ni mwenye haku spend pia hana hio pesa . e.g @MTINGIZA_KITANDA spent 5k kila weekend so 2025 ame spend 240 000 ksh , wewe mwenye umeendesha bajaaj mwaka yote hadi mkono ya right inamenjenga kuliko ya left , huna ata chochote so unataka tufanye hesabu gani mdau

Over 105,000. Hio pesa ningenunua sofa pale Furniture place

100+ G’s, not sure of the exact figure. Hiyo pesa ningeongeza kitu kidogo nashika Macbook safi.

Kweli msee kwnza unashika a true birrionea recliner or sofa
Its funny just a little self love and discipline utajipata uko na nice stuff. Women do this all the tim

haha tangu niache pombe, nikipata something nice to buy for myself I don’t hesitate.. Hizi 3K mtu hukunywa kila weekendi ukikusanya you can buy something nice